31 May 2018

Soma chuo kwa ufadhili wa 50% Mwanza Tanzania

ST DOMINIC VTC ni chuo pekee kanda ya ziwa kinachotoa kozi mbali mbali zenye fursa kubwa ya ajira nchini hata nje ya nchi, pia chuo kimesajiliwa na veta kwa namba REG: VETA/MZ/RC/110/VOL/111/161. Chuo kinatoa kozi zifatazo kwa ufadhili wa 50%. -Umeme wa majumbani na viwandani, hotel management, Computers kozi, Udereva, Utalii NK. tupo mwanza Tanzania. kwa Maelezo zaidi piga +255675564301