31 May 2018

Soma chuo kwa ufadhili wa 50% Mwanza Tanzania

ST DOMINIC VTC ni chuo pekee kanda ya ziwa kinachotoa kozi mbali mbali zenye fursa kubwa ya ajira nchini hata nje ya nchi, pia chuo kimesajiliwa na veta kwa namba REG: VETA/MZ/RC/110/VOL/111/161. Chuo kinatoa kozi zifatazo kwa ufadhili wa 50%. -Umeme wa majumbani na viwandani, hotel management, Computers kozi, Udereva, Utalii NK. tupo mwanza Tanzania. kwa Maelezo zaidi piga +255675564301

Tunachimba visima vi fupi na virefu kwa bei nafuu 50%

Tunachimba visima vifupi na virefu kwa bei nafuu 50% Popote ulipo tutakufikia unaweza kulipa kidogo kidogo kwa maelezo zaidi tupigie simu

30 May 2018

Machine za kutotolesha Vifaranga vya kuku

Machine za kutotolesha Vifaranga vya kuku vinapatikana kwa bei nafuu kabisa

Pendezesha Nyumba au Ofisi yako.

Je unahitaji urembo na mapambo kwenye nyumba yako, basi wasiliana nasi ilitukurembee nyumba au ofisi yako kwa bei nafuu kabisa

MABWAWA YA SAMAKI

Tunatengeneza mabwawa ya samaki aina mbali mbali makubwa na madogo kwa bei nafuu kabisa popote tutakufikia pia tuna toa elimu na ushauri wa kitaalamu bure

UFUGAJI WA SAMAKI SATO


Tunatoa mafunzo ya ufugaji samaki sato pia tunauza samaki na vifaranga vya samaki aina zote

CCTV CAMERA SALES & INSTALLATION

Tuna uza camera aina zote pia tuna funga camera kwa bei nafuu sana tunaunganisha camera na simu yako ya mkononi. tupo maeneo yote Tanzania. Piga +255675564301

2 May 2018

Tunatengeneza na Kuuza Mikoba, Mabegi na Pochi aina zote

tangaza nasi2
Tunatungeneza mikoba na pochi aina mbali mbali pia tunakaribisha wanafunzi kwa ajili ya kujifunza kutengeneza mikoba ya kisasa kwa bei nafuu.